Friday, 2 July 2021

Kofi a ya Kiua




Kofia ya kiuwa cha asili kilichozoeleka kwa Wazanzibar.







                                            Historia fupi ya Kofia ya Kiua Zanzibar


                                  https://www.youtube.com/watch?v=i1wLc0c0r_I

Kofia ya kiua hapo zamani ikishonwa kwa kutumia uzi wa rangi ya maziwa, sindano ya mkono na hutobolewa tundu zake kwa kutumia mwiba wa Nungunungu.









Siku hizi, kofia za kiua hufumwa kwa kutumia rangi mbali mbali na ushonaji wake ni tafauti na ule wa zamani. Hufumwa kwa kutumia charahani.









Kofia za kiua zilizotengenezwa kwa rangi mbali mbali





Jinsi ya Kutengeneza Kofia ya Kiua Siku hizi.


👆Angalia video inayohusu utengenezaji wa kofia ya kiuwa.

https://www.youtube.com/watch?v=x6lNnicSnbI&t=123s


No comments:

Post a Comment

Vazi la Kanga

Kanga Katika visiwa vya Zanzibar, kanga ni miongoni mwa vazi maarufu ambalo watu hulitumia katika shughuli zao mbali mbali kama; kusalia, ku...