Friday, 2 July 2021

Vazi la Kanga

Kanga

Katika visiwa vya Zanzibar, kanga ni miongoni mwa vazi maarufu ambalo watu hulitumia katika shughuli zao mbali mbali kama; kusalia, kupikia, kulalia, kuvishiwa bibi harusi na hata kuendea msibani. Kuna aina mbali mbali za kanga lakini ni vyema  tukaijua kanga ya KISUTU.
Kisutu cha asili ni chenye rangi ya kahawia kwa weusi lakini siku hizi kumejitokeza kisutu cha rangi mbali mbali ambacho hujulikana kama ni aina mpya ya kanga hiyo. Miongoni mwa rangi hizo ni pamoja na kisutu kahawia kwa weusi, kijani kwa weupe, cheupe kwa wekundu na hata buluu bahari kwa weupe.

AINA ZA KANGA YA KISUTU 

(Kabati la kanga.wordpress.com)

Kisutu cha rangi nyeupe kwa wekundu. (pinterest.ca)



Kisutu cha rangi ya kijani kwa weupe.
(britshmuseum.com)











 Kisutu cha rangi nyekundu kwa weupe

















Maharusi wa zamani walivaa kisutu kwa namna yao ila siku hizi hushonwa na kutengenezwa maalumu na kuwa nguo kamili ya bibi harusi.
(MWANAMKE PENDEZA NA MISHONO- youtube).












Vile vile kisutu hutumika kama pambo katika kitanda cha maharusi wa Kizanzibari.






  Angalia video inayohusu asili na historia ya vazi la kanga.




https://youtu.be/CYUyToOop4E









Kofi a ya Kiua




Kofia ya kiuwa cha asili kilichozoeleka kwa Wazanzibar.







                                            Historia fupi ya Kofia ya Kiua Zanzibar


                                  https://www.youtube.com/watch?v=i1wLc0c0r_I

Kofia ya kiua hapo zamani ikishonwa kwa kutumia uzi wa rangi ya maziwa, sindano ya mkono na hutobolewa tundu zake kwa kutumia mwiba wa Nungunungu.









Siku hizi, kofia za kiua hufumwa kwa kutumia rangi mbali mbali na ushonaji wake ni tafauti na ule wa zamani. Hufumwa kwa kutumia charahani.









Kofia za kiua zilizotengenezwa kwa rangi mbali mbali





Jinsi ya Kutengeneza Kofia ya Kiua Siku hizi.


đŸ‘†Angalia video inayohusu utengenezaji wa kofia ya kiuwa.

https://www.youtube.com/watch?v=x6lNnicSnbI&t=123s


Vazi la Baibui kwa Wazanzibari

 Baibui la Kizanzibari.

Hili ni vazi ambalo asili yake ni vazi la kujistiri. Hapo zamani likivaliwa kwa kutia kizoro ama kuliachia wazi sehemu za juu.


Muonekano wa baibui la kamba kabla ya kuvaliwa 

Uvaaji wa baibui la kamba kwa kujizonga mwili mzima.





 

                                                                                        


Uvaaji wa baibui la kamba kwa kufunga kizoro.



Uvaaji wa baibui la kamba kwa kufunga kizoro.








Uvaaji wa baibui la kamba bila ya kizoro













Muonekano wa nyuma wa baibui la kamba


                                          














                                            Kuhusu Baibui la Kamba Zanzibar

                               https://www.youtube.com/watch?v=MXmWiDT4ibo

                                                               

Siku hizi uvaaji wa baibui kwa Wazanzibari umebadilika Sana. Huvaliwa kama nguo na mtandio.

Aina ya Mabaibui ya Siku hizi na Uvaaji Wake.



































                                 HISTORIA YA VAZI LA BAIBUI ZANZIBAR.


https://www.youtube.com/watch?v=jeg5t8_uo2k&t=11s

Vazi la Kanga

Kanga Katika visiwa vya Zanzibar, kanga ni miongoni mwa vazi maarufu ambalo watu hulitumia katika shughuli zao mbali mbali kama; kusalia, ku...