AINA ZA KANGA YA KISUTU
Mavazi ya Kizanzibari
Friday, 2 July 2021
Vazi la Kanga
Kofi a ya Kiua
Historia fupi ya Kofia ya Kiua Zanzibar
https://www.youtube.com/watch?v=i1wLc0c0r_I
Kofia ya kiua hapo zamani ikishonwa kwa kutumia uzi wa rangi ya maziwa, sindano ya mkono na hutobolewa tundu zake kwa kutumia mwiba wa Nungunungu.
Kofia za kiua zilizotengenezwa kwa rangi mbali mbali
Jinsi ya Kutengeneza Kofia ya Kiua Siku hizi.
đŸ‘†Angalia video inayohusu utengenezaji wa kofia ya kiuwa.
https://www.youtube.com/watch?v=x6lNnicSnbI&t=123s
Vazi la Baibui kwa Wazanzibari
Baibui la Kizanzibari.
Hili ni vazi ambalo asili yake ni vazi la kujistiri. Hapo zamani likivaliwa kwa kutia kizoro ama kuliachia wazi sehemu za juu.
Muonekano wa baibui la kamba kabla ya kuvaliwa
Uvaaji wa baibui la kamba kwa kujizonga mwili mzima.
Uvaaji wa baibui la kamba kwa kufunga kizoro.
Uvaaji wa baibui la kamba kwa kufunga kizoro.
Vazi la Kanga
Kanga Katika visiwa vya Zanzibar, kanga ni miongoni mwa vazi maarufu ambalo watu hulitumia katika shughuli zao mbali mbali kama; kusalia, ku...
-
Kofia ya kiuwa cha asili kilichozoeleka kwa Wazanzibar. Historia fupi ya Kofia ya Kiua Zanzibar ...
-
Kanga Katika visiwa vya Zanzibar, kanga ni miongoni mwa vazi maarufu ambalo watu hulitumia katika shughuli zao mbali mbali kama; kusalia, ku...
-
Baibui la Kizanzibari. Hili ni vazi ambalo asili yake ni vazi la kujistiri. Hapo zamani likivaliwa kwa kutia kizoro ama kuliachia wazi sehe...